12/06/2018

Mwanadada Anayedaiwa Kuvunja Mahusiano ya Offset na Cardi B Aomba Msamaha

Mwanadada anayedaiwa kuvunja mahusiano ya Offset na Cardi B aomba msamaha
Mahusiano ya Cardi B na Offset yalidumu kwa muda mpaka kufanikiwa kupata mtoto, ni kitu ambacho kiliwaaminisha wengi kuwa wawili hawa watadumu kwa muda kwenye mahusiano yao.Lakini majuzi mwanadada Cardi B aliweza kuweka wazi kuwa mahusiano yao yamevunjika rasmi na kauli hiyo ya Cardi B imemfanya mwanadada anayedaiwa kuwa ndio mchepuko wa Offset kufunguka na kuomba msamaha.Mwanadada huyo anayejulikana kwa jina la Summer Bunni kupitia ukurasa wake wa Instagrama amefunguka na kusema ” Nasikia aibu, hii naieleza mimi kwenda kwa Cardi B, Mashabiki zake,Familia yake, na hali yake, hii haikuwa kusudio langu na sijawahi kuwaza kuvunja mahusiano na kuondoa furaha ya mtu na kumfanya mtu apewe talaka”HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger