12/06/2018

Nyumba, Pagala, Inauzwa: Mapinga Mjini (Bagamoyo)


Nyumba, Pagala, Inauzwa: Mapinga Mjini (Bagamoyo)

Ndugu zangu watanzania (haswa wana-Dar es salaam), nauza nyumba yangu (pagala) ambayo ilikuwa hatua za mwisho kukamilika lakini kutokana na sababu za kuyumba kiuchumi nimeamua kuiuza ili nijikwamue kiuchumi.
Kwa yeyote mwenye tsh 18,000,000/= naomba anipe kama sehemu ya gharama nilizokwisha kutumia katika ujenzi huu ili umalizie na kuhamia.

Nyumba ipo Mapinga, km 1 kutoka barabara kuu (Bagamoyo Road) na ina vyumba vya kulala 3 (kimoja master), sebure, dining, kitchen na public toilet. Kiwanja kina ukubwa wa mita 20/20 sawa na sqm 400. Huduma za maji na umeme zipo.

Kwa taarifa zaidi, piga 0758603077, wahi uione nyumba na tufanye biashara.
Ahsanteni.


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Loading...
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger