Official Lyyn Aeleza Kwanini Ammemfollow Jacqueline Wolper Pekee Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii Official Lyyn ameeleza sababu za kumfollow kwenye mtandao wa kijamii, Jacqueline Wolper ambaye mtu maarufu pekee Bongo.

Lyyn kwenye mahojiano maalumu na kipindi cha The Playlist cha Times FM, amesema kuwa amefanya hivyo kutokana Wolper ni mtu ambaye wanaendana.

"Mimi naona toka tujuane tunakuwa tupo sawa tu kishikaji tunaongea, kwa hiyo yeye kama kuna kitu tumefanana ndio maana tumekuwa hivyo. Nahisi damu zetu zimeendana, labda wengine watakuja," amesema Lyyn.

Mwishoni mwa juma lilopita wakati Jacqueline Wolper alipoandaa sherehe kwa ajili ya kusherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake, Lynn ni miongoni watu waliojumuika naye kwenye hiyo muhimu kwake.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad