1 Dec 2018

Unyama: Mama Amfungia Mwanae Ndani Mwaka Mzima...VIDEO


MAMA mmoja nayefahamika kwa jina la Scolastica Selvina mkazi wa mtaa wa Polisi Kata ya Mafiga mkoani Morogoro amedaiwa kumfungia ndani binti’ye Oliver John (19) kwa zaidi ya mwaka mmoja huku akiwa mgonjwa.

 Binti huyo alibainika kuwa amefichwa hivi karibuni baada ya wananchi wa mtaa huo kutoa taarifa kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo, Feliksi Aduti ambaye naye alitoa taarifa kwa Kamanda wa Operesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ambaye alifika kwa haraka katika mtaa huo uliopo jirani na Msikiti wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu (IGP), Omar Mahita.

VIDEO;

GPL


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger