google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html VIDEO: Mwakyembe amvaa Ado Shaibu, kisa Rais Magufuli kudaiwa kupelekwa mahakamani | UDAKU SPECIAL

VIDEO: Mwakyembe amvaa Ado Shaibu, kisa Rais Magufuli kudaiwa kupelekwa mahakamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Diwani wa kata ya Mtoni jijini Dar es salaam, Bernad Mwekyemba amemvaa Katibu wa Itikadi, Uenezi na mawasiliano ya Umma Ado Shaibu baada ya kusema amempa maelekezo wakili na Rais wa Chama wanasheria Tanganyika kufungua kesi Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam kumshtaki Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli mara baada ya kumteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Dokta Adelardus Kilangi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad