12/16/2018

VIDEO: Zitto ni Mchawi, Kaniroga Sana Kashindwa na sio Raia wa Tanzania- Katibu UVCCM Kigoma


Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Kigoma, Agustino Matefu amepokea zaidi ya wanachama 100 kutoka chama cha ACT-Wazalendo.

Katika mkutano huo wa kuwapokea wanachama hao uliofanyika jijini Dar es salaam, wanachama hao wakiwemo madiwani wamesema kuwa, wameamua kukihama chama hicho baada ya kuona kinakosa muelekeo.

“Kama mnavyoona waandishi wa habari, hawa wote siwajui lakini wameamua kuniita ili waweze kujiunga na chama cha mapinduzi CCM, na hizi ni salamu kwa Zitto kwamba 2020 atafute kazi ya kufanya au arudi kwao Kongo,”amesema Matefu.

VIDEO;Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Weka Maoni yako Hapa

3 comments:

 1. Aisee kadi zimenyooka fresh,vijana wanatunza!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sio kadi tuu.. HATA WAO symbolic.. Zinto Zumbi kambwe kwa cc anajifungia Ofisi I akicheza PS4 na kuuza kadi KILA siku ili anunue luku inawezekana NI Za mzungusho WA kalibuni latest edition

   Delete
 2. Ninja...!!! Unarudisha kwao wiki hii hii..!!!

  Huyu Ana mawasiliano na Mabeberu na NI Kibaraka na Si mtu WA kwetu Arudishwee kwao bila kucheleweshwa kama anakibanda kiuzwe.... Uchochezi Si hulka yetu waTanzania ndio maana wahamiaji haramu wanaumoja waooo nililiona hili kwa kijana Nondo na mikwala Yao ya kiVira

  ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger