AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nimekaa sehemu leo napata lunch, mara dada mmoja mrembo aliyekuwa karibu yangu "kareact", "mameseji kibao halafu marefu, hayaeleweki.
Unanijazia tu inbox, utakuwa masikini tu wewe halafu hujiamini".Dah, nilishtuka sana. Baada ya dakika kama 2 hivi..
nikamuuliza dada yangu mbona hasira sana, kwa nini.
Akanijibu "kuna jianaume linanijazia tu inbox, linatuma messages nyingi, ndefu halafu halieleweki, wiki ya pili sasa, mie ananiudhi!"
Nikamwuuliza "mbona unasema atakuwa masikini,akajibu "mtu mwenye hela zake na anayejiamini atahangaika kutuma mameseji kibao, marefu ambayo hata hayaeleweki."
Kwani huyo hawezi kuwa tajiri, lakini kumbe anafanya ufafanuzi kwa kuandika kwa kina,"ingawa simjui, atakuwa hana lolote, anafikiri akijieleza au kuandika sana nitamhurumia au nitamwelewa, akafie mbele huko, tena namblock, hii ni kawaida ya wanaume kapuku."
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ha ha ha mimi naunga mkono aisee Mimi Mrembo Anitha Ukinihitaji utanipata (hapa) nawatakia siku nyema
ReplyDelete