Wasichana Walioolewa na Kupata Ujauzito Katika Umri Mdogo Wawatupia Lawama Wazazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


RUKWA, NKASI: Wasichana waliopata ujauzito wakiwa bado ni Wanafunzi wamesema wazazi ndio chanzo cha mimba hizo

Wamesema kuwa Wazazi hawatimizi wajibu wao wa kulea na kuwapa mahitaji muhimu

Wilaya hiyo inaongoza kwa idadi kubwa ya Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kupata ujauzito

Takribani Wasichana 115 wamepata ujauzito Wilayani humo kuanzia mwezi Januari mwaka huu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad