12/16/2018

Yanga Haikamatiki...Yafumua Mtu 3 Mchezo wa Leo


Klabu ya Yanga imeweza kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi kuu Bara uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Magoli ya Yanga yalifungwa na Amis Tambwe, Feisal Salum na Heritier Makambo aliyefunga kwenye dakika za mwisho kabisa za mchezo.

Ruvu Shooting na walifanikiwa kupata mabao yao kupitia kwa Fully Maganga na Said Dilunga aliyefunga kwa mkwaju wa penati.

Kwa matokeo hayo yanaifanya Yanga kuzidi kujikita kileleni kwa kuwa na alama 44 na kuiacha Azam yenye 40 kwenye nafasi ya pili.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger