Tanasha “Nilikutana na Diamond Club Miaka Miwili Iliyopita”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtangazaji na video vixen maarufu kutoka nchini Kenya Tanasha Donna Oketh ambaye pia ni Mpenzi wa  staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz amefunguka na kuweka wazi Jinsi walivyokutana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tanasha aliwapa mashabiki zake uhuru wa kumuuliza maswali ambapo alifunguka kwa Kuwapa majibu.

Tanasha aliulizwa ni Jinsi gani alikutana na Mpenzi Wake Diamond na aliweka wazi kuwa walikutana miaka miwili iliyopita walipokuwa Club Lakini hawakuwahi kuongea Mpaka mwaka jana mwishoni.

Nilikutana naye miaka miwili iliyopita klabu Lakini hatukuwahi kuongea mpaka mwaka jana mwishoni”.

Lakini pia Tanasha alianika mapenzi yake kwa Diamond na kusema wazi wazi kuwa anampenda sana Diamond na pia kusema ana sifa zote za mwanaume ambaye angependa kuwa naye yaani ni muaminifu, mchapakazi, ana Upendo na sifa nyingine kedekede.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad