Alberto Msando Amchana Spika Wabunge Sakata la CAG


From @albertomsando - Kwa mfano. Nasema kwa mfano tu. Prof. Assad angesifia kwamba Bunge liko imara na sio dhaifu kama mawazo yake je Mh. Spika angemuita mbele ya Kamati ya Maadili? Absurdity. Kwamba CAG kakosea kusema alichokisema mpaka Mh. Spika ameamua kumwambie aende kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge?

Nakumbuka hadithi mtu anakwambia wewe mlevi halafu unatoka povu mimi sio mlevi ngoja nikanywe mzinga wa Konyagi utanijua mimi ni nani

. Lets get serious. This is a joke. A serious bad joke. #TheDon.


HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Alberto Msando Amchana Spika Wabunge Sakata la CAG Alberto Msando Amchana Spika Wabunge Sakata la CAG Reviewed by Udaku Special on January 07, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.