1/14/2019

Mchungaji Amcharukia Mama Amber Rutty “Natumaga Hela ya Matumizi”

Mchungaji amcharukia Mama Amber Rutty “Natumaga hela ya matumizi”

Mchungaji Komando Mashimo amefunguka kwa upande wake kuhusu dhamana ya Amber Rutty na mume wake baada ya kuonekana akidai kuwa yeye ndiye amewadhamini huku Mama mkubwa wa Amber Rutty akikanusha na kusema ni yeye ndiye aliyemdhamini.

Mchungaji Mashimo amefichua na mengine kuhusu hilo kwa kusema yeye alikuwa akituma hela ya matumizi wakati Amber Rutty alipoachiwa kwa dhamana na muda mwingine alikuwa na mashaka kuwa hela hizo zilikuwa haziwafikiii wahusika


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger