CHADEMA watoa tamko sakata la Lissu, wamjia juu Makonda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

CHADEMA watoa tamko sakata la Lissu, wamjia juu Makonda
Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kupitia katibu wa Mkoa wa Arusha Elisa Mungure amesema kuwa Wanashukuru Mungu kwa Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu kupona na kuendelea kuimarika kila Siku.

Pamoja na Shukrani hizo Mungure amemjia juu Mkuu wa mkoa wa Dar Es salam Paul Makonda kwa waraka wake alioutoa unaomuhusu Lissu pamoja na Viongozi wanaozungumza kuhusu Ziara ya Lissu huko Barani Ulaya.

Amesema kuwa kama CHADEMA anachokifanya Lisu ni sahihi huku wakiwataka viongozi wengine kunyamaza na kumuacha Tundu Lissu kufanya ziara yake kwa kuwa katiba ya Tanzania Ina mruhusu na hajaivunja kama wengine wanavyodai.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad