1/14/2019

Halima Mdee:Kuna Kila Dalili Bunge Hili Hatutajadili Kabisa Taarifa za CAG

Huu ndio ujumbe Mhe. Halima Mdee aliouandika katika mtandao wa twitter:

KUNA dalili kwamba BUNGE hili hatutajadili KABISA taarifa za CAG ! Wajumbe wa KAMATI za PAC na LAAC wamesambazwa katika KAMATI nyingine!! Imethibitika HIVYO. Kwa ufupi KAMATI hizo za MAHESABU hazipo kwa SASA. Kwa msiojua BUNGE hili ndio tungejadili 1.5trillion na mambo MENGINE.JFSalary Slip

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger