Harmonize Aonyesha Ujio wa Kolabo Yake na Burnay Boy

Harmonize Aonyesha Ujio wa Kolabo Yake na Burnay Boy
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki ya WCB iliyochini ya Diamond Platnumz, Harmonize alimaarufu Konde Boy, ametujuza ujio wa kolabo yake na msanii kutoka Nigeria.


Msanii huyo akiwa nchini Nigeria kwa sasa ameonekana akiwa na Burnay Boy katika maeneo tofauti tofauti lakini pia akipost moja ya picha aliyopiga na Burna Boy na kuweka wazi kuwa kuna ujio wa kolabo yake mpya na mshindi huyo wa tuzo tatu za Sound city.


Ikumbukwe kwamba Harmonize amefanya zaidi ya kolabo nne na wasanii kutoka pande hizo za Nigeria.

Harmonize ametujuza kwamba kuna zaidi ya kolabo .
HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Harmonize Aonyesha Ujio wa Kolabo Yake na Burnay Boy Harmonize Aonyesha Ujio wa Kolabo Yake na Burnay Boy Reviewed by Udaku Special on January 11, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.