Huu Hapa Ujumbe wa Steve Nyerere kwa Haji Manara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huu Hapa Ujumbe wa Steve Nyerere kwa Haji Manara
Msanii wa Filamu nchini, Steve Nyerere amesema kuwa Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amekuwa mwenye ushiwishi kitu kinachochangia ushindi wa timu hiyo nje ya uwanja.

Steve Nyerere ameeleza hilo linatokana na uwezo na kujituma bila kuchoka kwa wakati wote.

"Unajituma sana, Unaushawishi mkubwa kwa wana Simba SC  wenzako, Unaloona linamanufaa kwa timu basi huwezi kuliacha likapita hivi hivi, Umeifanya Simba SC na wanachama wa kurudisha imani na mapenzi na timu yao," ameeleza Steve Nyerere.

Ameendelea kwa kusema, 'Ushindi wa Simba SC ni wa kimpira, Lakini ushindi mwingine wa Simba SC wanaopata ni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad