Mange Kimambi Amshukia Hamisa Mobetto, Amtaka Aache Kuonyesha Maboifrend zake...Adai Yatamkuta ya Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Hamisa Mobetto kuanza kumuonyesha mchumba wake mpya,  Mange Kimambi Kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameandika haya:


Anaekupenda atakwambia ukweli. Please acha huu ujinga unaouanza. Unaanza mambo ya Wema, drama za kipuuzi...

Nobody needs to know uko na nani. Hata kama mtu amekulipua umemuibia, unajikausha but sio mapicha kama hivyo..

Mi naona kama hauko sawa because this is not you

Your brand is growing kwanini unaamza kuji-associate na ujinga? .

Ya Josh nilikuwa mstari wa mbele coz ilikuwa ni kwa ajili ya kazi na nilikusisitza after the video drops make it clear and open kuwa sio mtu wako but ukaacha idrag on and on. Unaanza ku-enjoy drama za kijinga. .

Alafu hivyo vitoto vya baba vya nini? You are mom of 2 huyo mtoto atakupotezea time tu na kukuongezea namba. Hivi anaweza kuwa step dad huyo? Mama Unahitaji a grown man.Kitoto kama hiko sabbau kwao matajiri basi unakulana nae kwa siri, unamlia vihela vya babake kimya kimya. Hata kama mtu amekulipua unakataa, na viapo unakula maana sio mtu wa kumwanika huyo. Kwao tu atakubaliwa kuoa mwanamke ana watoto wawili? Nope! So why umwanike mtu ambae Unajua hakuna future? Mi na kuona uko so desperate kupendwa na mwanaume openly sababu ya pain ya kufichwa uliyoipata kwa Diamond but this is damaging to you. Chill out mama, the time will come utapata the right person wa kuwekana nae open. Diamond anaendelea kudirect maisha yako bila wewe kujua.

Sikupangiii how to live your life, na najua utanimaindi, labda hata utapingua Udada, ila utajijua mwenyewe, cha maana nimekwambia ukweli kama dada yako. Umaarufu unaanza kukupelekesha. Usipobadilika ya Wema yatakupata na wewe. Embu piga kazi achana na wanaume. Anaetaka umwanike akuoe basi. Hivi wakikuita malaya leo watakuwa wamekosea? Si wanakuhesabu Josh juzi tu leo huyu. Yap watakuhesabia mpaka Josh sababu hukutaka kuwaambia alikuwa model tu ili uendelee kuongelewa kwa drama ya kijinga. .

Huyo anaesema kaibiwa nae pumbavu tu. Jamani its 2019.Hivi bado wanawake wanagombea wanaume? Mama umeachwa, Hamisa has nothing to do with it. Eti kafanya kusudi. Kama mwenzio katongozwa akatae sababu yako ana undugu na wewe ama? We fala nini?. It’s survival of the fittest.

@mama_mobetto emu chukua password za social media za huyo mtoto maana anaanza ujinga.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad