Mwanamke Afunguka Alivyobakwa na Chriss Brown

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamke Afunguka Alivyobakwa na Chris's Brown
MSANII wa Marekani,  Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown,  anaandamwa na tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 24 huko Ufaransa usiku wa Januari 15 mwaka huu.



Mwanamke huyo amesema kwamba alifanyiwa tukio hilo baada ya kukutana na msanii huyo club huko ufaransa, na akamkaribisha chumbani kwenye hoteli aliyofikia iliyokuwa inajulikana kwa jina la ‘Mandarin Oriental Hotel.Mwanamke huyo amefunguka kwamba chumba walichotumia na Chris Brown ndipo alipomfanyia kitendo hicho  humo.



Chris Brown (Breezy) hajasema neno lolote juu ya taarifa hizo.



Taarifa zilizotolewa na chanzo cha Ufaransa cha  ‘Closer’,   kinaeleza kwamba Breezy yupo chini ya upelelezi wa polisi kuhusiana na tuhuma hizo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad