Nyama ya ng'ombe yatoweka Dar, bei yapaa kilo elfu 9.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nyama ya ng'ombe imetoweka kwenye mabucha mbalimbali jijini Dar es Salaam takribani mwezi mmoja uliopita.

Mmoja wa wauzaji wa nyama maeneo ya Kimara, alisema kwa sasa ngo'mbe wanaochinjwa machinjioni ni wachache ambao hawakidhi mahitaji ya wakazi wa jiji hilo.

Je, Mtaani kwako bei ya nyama ni shs ngapi??
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad