Ommy Dimpoz aibuka Kenya, mashabiki cheko kama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ommy Dimpoz aibuka Kenya, mashabiki cheko kama lote
Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz ameonekana akiwa na msanii kutokana nchini Kenya, Will Paul Msafi kitu kilichoibua furaha kwa mashabiki wake.

Ommy Dimpoz amekuwa kimya kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii toka Decemba Mosi mwaka jana. Kuliibuka taarifa za yeye kuzidiwa na kurishwa hospitali tena lakini taarifa hizo zilitupiliwa mbali na watu wake wa karibu.

Willy Paul amechapisha picha kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika, 'Happy to see you my brother!! Ommy Dimpoz'

Ommy Dimpoz na Willy Paul amekutana Kenya, bado haijajulikana iwapo wawili hao wamekutana kwa lengo la kudumisha urafiki au ni kazi pekee.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad