Pepo la Ulevi Lazidi Kumtesa Wayne Rooney..Akamatwa Airport Akiwa Chakari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wayne Rooney alikamatwa huko Marekani kwenye uwanja wa ndege baada ya polisi kugundua kuwa alikuwa amelewa.

Msemaji wa Rooney amedai kuwa Rooney alipewa vidonge vya usingizi ambavyo vilichanganywa na pombe.

Wayne Rooney alipofika uwanja wa Dulles alipokuwa akitokea Saudia Arabia Polisi walimkamata na kumshikilia kwa dakika kadhaa.



“Fabregas ni moja kati ya viungo bora kuwahi kutoa England” Jonathan Liew Mkurugenzi wa michezo wa jarida la The Guardian

Rooney alipigwa fine ya Euro 25 pamoja na Dola 91 kwa ajili ya gharama. Baada Rooney aliachiliwa.

Rooney ambaye kwa sasa ana miaka 33 amekwisha ifungia DC united magoli 12 katika michezo 20.

Kwa sasa ligi kuu nchini Marekani ipo mapumziko na inatarajia kuanza mwezi machi na mchezo wa kwanza DC united itacheza dhidi ya Atlanta United.

Hapo awali mwezi sept mwaka 2017 Wayne Rooney pia aliwahi kukamatawa akiwa amelewa akiwa anaendesha ambapo ni kinyume na sheria.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad