Picha: Tattoo mpya za Diamond Platnumz zachanganya mashabiki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa Bongo Flava, Diamond amezidi kukoleza na kuongeza tattoo kwenye mkono wake.

Muimbaji huyo pendwa kutoka WCB ameonekana akiwa na tattoo zaidi mkononi ingawa hajaweka wazi maana kamili ya tattoo hizo.

Hivi karibuni DJ wa muimbaji huyo, Romy Jons alichora tattoo ya Diamond kwenye mkono wake na
kueleza kuwa amefanya hivyo kutokana na ukaribu wao kikazi na undugu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad