AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kocha wa klabu ya JS Saoura, Nabil Neghiz amewashukuru watanzania kutokana na mapokezi waliyowapatia usiku wa Alhamisi hii walipotua kwa ajili ya mchezo wao na Simba siku ya Jumamosi. Pia kocha huyo amemzungumzia mchezaji Thomas Ulimwengu ambaye amesajiliwa na timu hiyo hivi karibuni.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK