Anusurika Kifo Baada ya Kujirusha Baharini Akiwa Kwenye Boti ya Azam

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja amenusurika kifo baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye Boti ya Azam iliyokuwa ikitoka Dar es salaam kwenda Unguja Jana Februari 11, 2019 majira ya saa 6 mchana
-
Mpaka sasa haijatambulika sababu ya kijana huyo kujirusha
-
Waokoaji wamefanya bidii za kijana huyo kuokolewa na kukimbizwa Hospitalini




Kutokana na maadili na miiko ya kiuandishi sitaweka video ya tukio hilo la kusikitisha.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad