AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Amesema hayo leo alipotembelea Kituo hicho ambapo ameahidi kukabidhi Mil 100 ifikapo kesho kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vikiwemo Camera.
"Chama chetu cha mapinduzi kwa sababu kinatimiza miaka 42 tangu kianzishwe, kwa hiyo nilifikiri ngoja niende Africa Media Group niwasalimu kwa sababu ni chombo cha Chama cha Mapinduzi," amesema Rais Magufuli.
Rais Magufuli aliendelea kwa kusema, 'Kwanza nataka kuwadhibitishia mimi huwa napenda kuangalia Channel Ten, kwa hiyo mimi ni shabiki wenu,'.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK