2/11/2019

Husna na Tunda Ndani Ya Sakata La Kuibiana Mwanaume


Mlimbwende aliyewahi kushiriki shindano la Miss Tanzania miaka ya nyuma Husna Maulid na video vixen maarufu Bongo Tinda Sebastian wamedaiwa kutibuana kisa bwana wanayemgombania.

Gazeti la ijumaa wikienda linaripoti kuwa Husna ambaye alikuwa na urafiki na Tunda alijikuta amesalitiwa na shoga yake huyo baaada ya kugundua kuwa amemchukulia bwana ake anayeitwa Ally.

Katika mahojiano aliyofanya na Gazeti hili, Tunda alisema watu wamekuwa wakizungumza sana kuhusiana na hilo kwamba ameibiwa bwana na rafiki yake Tunda kitu ambacho hakifahamu kwani anachojua yeye ni kwamba ana mpenzi wake mmoja tu anayejulikana kwa jina la G na ndiye rafiki yake pia.

Jamani naomba watu waelewe kwamba nina mpenzi wangu anaitwa G, huyo mwingine anayetajwa simjui na wala sina urafiki na mtu zaidi ya mpenzi wangu, huyo ndiye rafiki yangu wa karibu“.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger