Jamal Shoga wa Empire Yamkuta Makubwa Baada ya Kujipangia Shambulio ili Apate Umaarufu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya skendo kubwa Show ya Tv ya Empire imetangaza kupunguza vipande atakavyoigiza na kuonekana mwigizaji Jussie Smollett katika msimu ujao.

Smollett (Jamal) alitakiwa kuonekana kwenye Scene tisa na sasa ataonekana kwenye scene tano tu ili apate muda wa kumaliza kesi yake na polisi. Jussie anatuhumiwa kupanga njama na watu wawili ili kuonekana amefanyiwa shambulizi la kibaguzi.

Polisi Chicago wamehoji baadhi ya watu ilikupata stori kamili na wiki ijayo wanaweza kufungua mashtaka dhidi yake kwa kutoa ripoti ya uongo kwa polisi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad