KIMENUKA..Harmonize Atua Polisi Central Sakata la Dawa za Kulevya, Awatimua Waandishi-VIDEO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize Jumatano hii majira ya saa 8:30 asubuhi ameripoti Polisi Central jijini Dar es salaam kwaajili ya kuhojiwa kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya. Baada ya kufika eneo hilo muimbaji huyo alianza kuwatimua mbio waandishi ambao walijitokeza eneo hilo.


Muimbaji huyo ameitikia wito wa RC Makonda, ambapo alimtaka akifika nchini achunguzwe kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi baada ya kuonekana akivuta kitu chenye moshi mkubwa kinachodaiwa kuwa ni bangi.

 VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad