Mrisho Mpoto Afichua Siri "Ruge Ndio Aliniambia Niwe Natembea Peku"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mrisho Mpoto amesema Ruge Mutahaba ndie aliemuambia awe anatembea peku ili aonekane tofauti "Aliniambia tayari wewe unaimba mashairi je unataka watu wakupambanuaje?, nikamwambia nitavaa magunia akasema sawa hiyo haitoshi ongezea nyingine”.

"Ni Ruge aliyenitengeneza mimi kuwa tofauti kwa mashairi yangu, mwanzoni nilikuwa naimba tu kikubwa zaidi alinitengeneza yaani kuni-brand" MRISHO MPOTO
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad