google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mtoto wa Rais Mstaafu Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa | UDAKU SPECIAL

Mtoto wa Rais Mstaafu Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ndambi Guebuza, mtoto wa Rais wa zamani wa Msumbiji, Armando Guebuza anashikiliwa na vyombo vya usalama tangu mwishoni mwa wiki iliyopita nchini Msumbiji katika uchunguzi kuhusu mtandao wa rushwa alioutumia kwa kuchukua deni lililofichwa la Taifa hilo
-
Kijana huyo amekamatwa akihusishwa katika kashfa ya rushwa ambayo imeisababishia Msumbiji deni kubwa la Taifa na kupelekea hali mbaya ya kiuchumi iliyopo sasa
-
Aidha, Vyombo vya Usalama vimekamata watuhumiwa wengine saba wakiwemo wafanyabiashara  na maafisa wa vyombo vya kiinteligensia, wote wakihusishwa na kashfa hiyo ya deni
-
Mnamo mwaka 2016, deni hilo lililofichwa lilidhihirika na kusababisha nchi hiyo kukumbwa na hali mbaya kiuchumi kutokana na wafadhili wengi kusitisha misaada yao

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad