BREAKING: Baada ya Maalim kuhamia ACT, Wanaomuunga mkono Zanzibar waanza kubadilisha bendera ofisi zao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muda mchache baada ya Maalim  Seif Sharif Hamadi kutangaza kuhamia ACT Wazalendo wanachama na viongozi mbali mbali wa Chama cha Wananchi CUF waliokuwa wanaomuunga mkono visiwani Zanzibar wachukua uamuzi wa kubadilisha bendera katika ofisi zao na kuweka bendera za ACT - Wazalendo.



Katika hatua nyingine wameamua kubadilisha rangi kwa baadhi ya ofisi na kupaka rangu za ACT wazalendo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad