Loading...

3/14/2019

Breaking News: Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua nassari anadaiwa kuvuliwa ubunge kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa kuhudhuria mikutano mitatu ya bunge, jambo ambalo ni kinyume na sheria na taratibu za Bunge.

Nafasi yake imebaki wazi.

Loading...
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

1 comment:

  1. Wabunge wetu lazima wafahamu kwamba,wao ni watumishi wa umma wananchi waliowachagua na kuwaleta Bungeni ndio mabosi wao,wasiringe au kujifanya kua wao ni tofauti,au wawe na tabaka za kipumbavu,wao sio bora kuliko mtu yeyote,wao ni watumishi sio wafalme,wawe na ADABU,(Mwalim alisema kuna wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya)wasaidieni wananchi.A.R.Msimbazy

    ReplyDelete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger