Breaking News: Rais Magufuli Awazawadia Wachezaji wa Taifa Stars Kiwanja kila mmoja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Breaking News:  Rais Magufuli Awazawadia Wachezaji wa Taifa Stars Kiwanja  kila mmoja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewazawadia kila mchezaji wa Taifa Stars zawadi ya kiwanja Makao Makuu ya Serikali jijini Dodoma.

Rais Magufuli amesema kuwa amewapa zawadi hiyo kwa niaba ya Watanzania kwasababu wamewafurahisha katika mchezo wa jana.


"Mimi kama mimi sina kitu, ila kwa niaba ya Watanzania sisi tunawapa zawadi za kiwanja kwa kila mmoja,Hassan Mwakinyo na mwalimu wako, Peter Tino na Ndugu Tenga, kila mmoja apate kiwanja chake, naomba Waziri Mkuu naomba usimamie hili. Sasa ukishapata kiwanja ukiamua kukiuza shauri yako, sisi kama Watanzania hiyo ndio shukrani yetu," Amesema Rais Magufuli Ikulu jijini Dar Es Salaam.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad