Gaza Mambo ni Moto Wanne Wapoteza Maisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Maroketi matano yalirushwa kutoka Ukanda wa Gaza kwenda Israel,na kusababisha vifaru vya Israel kujibu kwa kushambulia maeneo ya  ya kundi la Hamas mapema Leo katika ya maandamano ya Wapalestina Gaza.

Shambulio hilo la maroketi na jibu la Israel havikusababisha madhara yoyote kwa mujibu wa jeshi  la Israel na watu mashuhuda katika eneo la Gaza.

Vifaru vya jeshi la Israel vilishambulia maeneo ya Hamas katikati ya ukanda wa Gaza na mashariki  mwa mji wa Gaza mashuhuda wamesema.

Mamia kwa maelfu ya wakaazi wa Gaza walijikusanya hapo mapema katika mpaka na Israel  kukumbuka mwaka mmoja tangu maandamano na makabiliano kuzuka katika eneo hilo, lakini hofu  ya mauaji makubwa yaliepukwa baada ya majadiliano yaliyoongozwa na Misri hapo kabla.

Wapalestina wanne waliuwawa na risasi kutoka jeshi la Israel mmoja wakati wa maandamano kabla  ya mkutano mkuu na wengine watatu vijana  wa  umri  wa  miaka  17  katika  makabiliano jioni  ya  Jumamosi, Wizara ya afya katika mji wa Gaza imesema. Wakaazi wengine 316 wa Gaza  walijeruhiwa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad