Lowassa, Sumaye Waongoza Harambee Azania Front

lowassa, Sumaye Waongoza Harambee Azania Front
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa, leo ameongoza harambee ya uzinduzi wa Albamu ya Kwaya Kuu ya Kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front Dar es Salaam.

Katika uzinduzi huo, Lowassa alimuomba Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Fredrick Sumaye kuungana naye katika kuwachangia wanakwaya hao ili waweze kuendeleza kazi ya injili.

Kwenye harambee hiyo, watu wengi mashuhuri waliungana na viongozi hao wastaafu katika kuunga mkono harambee hiyo.

HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Lowassa, Sumaye Waongoza Harambee Azania Front Lowassa, Sumaye Waongoza Harambee Azania Front Reviewed by Udaku Special on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.