AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mama Maria Nyerere (kushoto mbele) akiwa na mgeni wake, mjane wa Waziri Mkuu wa zamani, Mama Napono Sokoine aliyemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam, jana. Wengine katika picha (kutoka kushoto) ni msaidizi wa Mama Maria, Wambura; Mbunge wa Viti Maalumu, Namelok Sokoine, Elysia Sokoine; na Ninai Sokoine. Mbuzi anayeonekana ni zawadi ya Mama Sokoine aliyompelekea Mama Maria.
MJANE wa Waziri Mkuu wa zamani, Mama Napono Sokoine, jana alimtembelea Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK