Mmoja Afariki Dunia Katika Vurugu za Jana Taifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Ibrahim Hassan (7) amefariki Dunia baada ya kukanyagwa na mashabiki waliojitokeza Uwanja wa Taifa jana Jumapili kwenye mchezo kati ya Taifa Stars na Uganda.


Akidhibitisha taarifa hizo, Muuguzi wa zamu wa Hospitali ya Temeke, Rolester Kinunda amesema kuwa jana walipokea watu 18 waliopata majeraha kwenye vurugu zilizotokea Uwanja wa Taifa na miongoni mwa majeruhi hao alikuwa ni huyo mtoto Ibrahim Hassan.

“Majeruhi wote ukiachilia aliyefariki, walipata michubuko na wengine walikuwa wakilalamika kupata maumivu ya kifua, walipimwa na kuonekana hawajaumia ndani, hivyo walipatiwa dawa za maumivu na kuruhusiwa,“amesema Kinunda.

Mwili wa mtoto huyo umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke kusubiria taratibu za mazishi.

Jana kwenye mchezo kati ya Taifa Stars dhidi ya Uganda, kulizuka vurugu ambazo zilipelekea geti la kuingilia kuvunjwa na mamia ya watu kukanyagana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad