Pierre Mzee wa Liquid Atajwa na Mama Samia Ikulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan jana wakati akitoa pongezi kwa Wachezaji wa Taifa Stars amemtaja Pieere Gumbo maarufu kama Pierre Liquid, Konki fire katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu.

"Tatu kwa 0 sio, nawashukuru wote walioleta ushindi kuna yule nani, kuna yule maarufu yani sijui liquid naye kama vitu vyake yaani ilikuwa furaha tupu," alisema Mama Samia.

Aidha Makamu wa Rais amesema kuwa kila binadamu anatofauti zake lakini katika ushindi wa Taifa Stars tofauti ziliachwa na kuwa kitu kimoja na huo ndio Utanzania.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad