Rais Magufuli afichua alivyomchunia Mwakyembe Baada ya Stars Kufungwa na Lesoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amefichua siri ya kutozungumza na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe mara baada ya Taifa Stars kupoteza mchezo wake dhidi ya Lesotho Novemba 2019.

Rais Magufuli amefunga hayo wakati akizungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Kamati ya Uhamasishaji ya timu ya Taifa pamoja na Bondia Hassani Mwakinyo ikiwa ni siku moja baada ya timu ya taifa kufuzu michuano ya Mataifa Afrika.

Rais Magufuli amesema, "tangu tulipofungwa na Lesotho na huku Mil. 50 zangu zikiwa zimeliwa iliniuma kweli kweli, sikuwahi kuongea na Mwakyembe tangu siku ile hadi leo nilipompigia, aliniandikia meseji kuwa tuwe na Kombe la Magufuli, kama ilivyo Kagame Cup, sikumjibu."

Mamilioni ya watanzania jana walikuwa na furaha kufuatia timu ya taifa ya Tanzania kuichapa Uganda kwa mabao 3 kwa sifuri na kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa manne yaliyofuzu fainali za AFCON zitakazofanyika Juni 2019, nchini Misri.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad