Rosa Ree Akimbilia Kenya..Aonekana na Msanii Timmy Dat Katika Mapozi Tata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rapper wa Kike Matata kutoka Tanzania kwa siku za karibuni ameonekana akiwa Nairobi akifanya Media Tour za kazi zake huko, lakini kitu ambacho kinaongelewa sana hasa Kenya na kitendo cha kuonekana pamoja na Msanii maarufu huko anayejulikana kama Timmy Dat

Rosa na Timmy Dat kwa wiki sasa wamekuwa wakipostiana kwenye instagram zao wakiwa katika mapozi tofauti tata, na nyingine imeonekana Video Rosa Ree akiwa anapika Nyumbani kwa Mwanamuziki huyo Timmy Dat

Tumejaribu kumuuliza Rosa Ree kupitia simu akatujibu hivi
"Jamaaa ni mwana tu hakuna kitu cha zaidi ila kama kuna kitu kati yetu time will tell"


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad