4/15/2019

Amtandika Risasi 7 Mpenzi Wake baada ya Kumsomesha Mpaka Digrii Kisha Kumkataa

Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu.
Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini na kumpeleka mjini Nairobi kama mke wake ambapo aliamua kumsomesha mpaka chuo kikuu.

Alikuwa akimlipia karo na mahitaji mengine pamoja na kutuma pesa kwa mama mzazi wa binti huyo kama msaada kutokana na familia hiyo kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za maisha.

Baada ya kuhitimu masomo yake, Christine alimwambia Patrick kuwa amechoka kuwa naye kwani ni mtu asiyekuwa na hadhi yoyote na hafai kuwa mpenzi wake hivyo ni vyema kila mtu afanye mambo yake. "Nimepata mpenzi mwingine ambaye ananifaa sana pia ni Mkurugenzi wa Kampuni moja kubwa sana jijini Nairobi hivyo siwezi kuwa na wewe Patrick mtu usiyekuwa na future na ni daraja D ambalo ni dhaifu kwangu", alisema Christine.

Patrick hakuielewa kauli ya mpenzi wake, akaamua kwenda kijijini kwa mama yake na Christine kuomba msaada wa suluhu ili aweze kumuoa binti yao kwani alikuwa ametumia gharama kubwa mno kumsomesha.

Mama yake binti alijibu kuwa hawezi kumpangia mtoto wake mume wa kumuoa hivyo anapaswa aachwe ajiamulie yeye mwenyewe. Patrick hakukubali, akamtafuta dada yake Christine na kumwelezea hali halisi lakini alijibiwa kuwa hana hadhi ya kumiliki mwanamke aliyehitimu Chuo Kikuu hivyo atafute mwanamke wa level ya mgambo kama yeye.

Aliondoka na kurudi nyumbani na kuchukua uamuzi mgumu wa kumuita Christine nyumbani kwa lengo la kuongea na kumaliza tofauti zao ili waachane kabisa, binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi. Alifika na kumkuta Patrick amejihami kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.
Nini maoni yako?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

11 comments:

 1. Kwa usaliti alioufanya naona jamaa kamchapa risasi chache sana

  ReplyDelete
 2. PATRICK YUKO SASA TUU MBONA ALIPOKUWA A NALIPIWA ADA NA PATRICK HUYO MKURUGENZI HAKUMPA. ADHABU ALIYOPEWA CHRISTINE NI NDOGO MNO

  ReplyDelete
 3. Mimi naona adhabu aliyompa ni kubwa sana maana maisha haya ni mafupi pesa hutafutwa angemwacha tu aone mwisho wake

  ReplyDelete
 4. Na yy jamaa msenge huwezi kuingia ghalama ya kumsimesha MTU hats sign ya mtoto mmoja hana. Kwaiyo alikuwa hajui kitakacho tokea kupitia kwa wengine waliotendwa? Kamuonea tuu!

  ReplyDelete
 5. Huyo Dada mi ninge mcharanga kidogokidogo kama nilivyo kuwa nalipa ada kwa mhula

  ReplyDelete
 6. Na yy jamaa msenge huwezi kuingia ghalama ya kumsimesha MTU hats sign ya mtoto mmoja hana. Kwaiyo alikuwa hajui kitakacho tokea kupitia kwa wengine waliotendwa? Kamuonea tuu!

  ReplyDelete
 7. Na yy jamaa msenge huwezi kuingia ghalama ya kumsimesha MTU hats sign ya mtoto mmoja hana. Kwaiyo alikuwa hajui kitakacho tokea kupitia kwa wengine waliotendwa? Kamuonea tuu!

  ReplyDelete
 8. Patrick alitumia hasira kutokana na kusubiri muda mrefu akiwa anatumia gharama pia, lakin uoande wangu sikubaliani na adhabu aliyompa dada huyo,kikubwa angekubaliana na huyo dada ili mkurugenzi huyo amrudishie gahatama zote alizotumia then kila mmoja ahishi kwa amani.
  Ushauri kwa wadada
  Wasiwe na tamaa bali waridhike na kidogo walicho nacho, kupitia hicho watapata mafanikio makubwa sana.
  By
  Baraka yoggo

  ReplyDelete
 9. Sorry kwa baadhi ya typing error kwenye sms hyo

  ReplyDelete
 10. Sorry kwa baadhi ya typing error kwenye sms hyo.

  ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger