4/20/2019

Aunt Ezekiel Amchamba Anaesema Amemuibia Mume

KAZI kwelikweli! Mkali wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefungukia tuhuma za kukwapua mume wa mtu na kusema kuwa anayedai ameibiwa ana lake kwani hajamzaa huyo mwanaume.Katika mahojiano na Gazeti la Ijumaa juu ya skendo hiyo, Aunt alisema hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayejitoa kwenye mitandao ya kijamii kwamba ameibiwa mwanaume kwani kufanya hivyo ni kujidhalilisha.


“Nashangaa kila kukicha Aunt kaniibia mume, kweli wewe ni mwanamke timamu? Hata hivyo, unalalama kuwa umeibiwa mwanaume kwani umemzaa? Hebu waniache tafadhali,” alisema Aunt.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger