4/17/2019

Baada ya Rais Magufuli Kuamuru Waziri Jafo Kuhamia Kwenye “Pagara” Katii Amri


Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Selemani Jfo amefunguka sababu za kuchelewa kumaliza ujenzi wa jengo la ofisi yake ikiwa ni siku mbili tangu Rais John Magufuli aagize Wizara hiyo ihamie kwenye jengo hilo hivyohivyo hata kama halijamalizika, Waziri Jafo ametii maagizo hayo ya Rais.


TAZAMA ALICHOFANYA ROSA REE BAADA YA KUFUNGULIWA NA BASATA

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger