4/15/2019

Bado Nahangaika na Kingereza kitaeleweka Tuu

MWANAMUZIKI na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameeleza kuwa, hajisikii aibu anapopewa maiki na kuzungumza Kingereza ‘broken’ kwa sababu anajua huko mbele hakuna msanii atakayemfikia kwa lugha hiyo.Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Shilole alisema ipo siku atashika maiki watu watashangaa atakapozungumza Kingereza kilichonyooka na ndio maana kila kukicha anakazana bila kuchoka.


“Nitazungumza broken mpaka kieleweke wala sitakaa nikaona aibu kwani ni lugha ya kimataifa na naamini itanikutanisha na watu mbalimbali,” alisema Shilole ambaye siku hizi amekuwa akiongea Kiingereza broken anapokuwa mbele za watu.
TAZAMA ALICHOFANYA ROSA REE BAADA YA KUFUNGULIWA NA BASATA

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger