Barcelona na Ajax Wapeta Nusu Fainali Club Bingwa Ulaya

advertise here

MICHEZO: Michezo ya R

obo Fainali katika michuano ya Klabu Bingwa Ulaya imemalizika kwa Ajax na Barcelona kufuzu kucheza hatua ya Nusu fainali


Klabu ya Barcelona sasa inasubiri atakayefuzu kesho katika mchezo kati ya Liverpool na FC Porto ili kucheza naye hatua ya Nusu Fainali


Ajax itacheza hatua ya nusu fainali na timu itakayofuzu kesho kati ya Tottenham na Manchester City  - #regrann  

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE