DMX Kuipiga Mnada Nyumba yayke ili Kulipa Deni Linalomuandama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

DMX kuipiga mnada nyumba yake ili kulipa deni linalomuandama
Inaripotiwa kuwa Rapper DMX ameamua kuweka sokoni nyumba yake aliyoinunua mwaka 2000 yenye thamani ya kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni 1 za Kitanzania ($649,000) na aliipata alipokuwa akifanya vizuri kwenye game ya muziki wa Hip Hop.

Inaelezwa kuwa nyumba hiyo ambayo ipo Mount Kisco mjini New York itauzwa kwa bei ya punguzo hadi kufikia kuuzwa shilingi Bilioni 1.6 za Kitanzania ($699,000) na inatajwa kuwa rapper huyo anadaiwa zaidi ya shilingi Bilioni 3 za Kitanzania. Rapper DMX anajaribu kulipa madeni yake baada ya kukaa jela kwa mwaka mmoja kutokana na kosa la ukwepaji kodi.

DMX aliachiwa huru January 2019 baada ya kukaa jela miezi 12 kwa kukutwa na hatia ya ukwepaji kodi na kudaiwa kiasi cha zaidi ya dola milioni 1.7, sasa moja ya masharti ya kuachiwa yalikuwa ni lazima alipe kiasi hicho cha pesa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad