4/17/2019

Hii hapa Ratiba ya mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika Afcon 2019

Mkufunzi wa timu ya taifa Stars nchini Tanzania Emmanuel Amuneke ametabiri kwamba majina makubwa katika kimnyanganyiro hicho huenda yakayaaga mapema mashindano hayo . Nyota huyo wa zamani wa Nigeria na barcelona anafikiri kwamba timu zisizo za majina makubwa katika mchezo huo huenda zikayashangaza mataifa makubwa.

Man United na Juventus waaga Champions league
Wanyama: Mechi dhidi ya Tanzania itakuwa ngumu


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger