4/21/2019

Kimenuka...Mamilioni ya Fedha Yakutwa Nyumbani Kwa Rais Aliyepinduliwa Omary Al Bashir

Zimekutwa katika nyumba ya kiongozi huyo aliyepinduliwa na Jeshi na sasa ameanza kuchunguzwa kwa tuhuma za utakatishaji wa fedha

Wanausalama wamesema wamezikuta Dola za Marekani, Euro na Paundi za Sudani ambazo kwa ujumla wake ni sawa na zaidi ya Dola za Marekani milioni 130(takribani Tsh. Bilioni 320)

Fedha hizo zimekutwa katika mchanganuo huu Dola za Marekani 351,000, Euro milioni  6 na Bilioni 5 za Paundi za Sudan 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger