4/10/2019

Mabasi 58 ya Mwendokasi Yaondolewa Barabarani, DART Yatoa Taarifa

Mabasi 58 ya Mwendokasi Yaondolewa Barabarani, DART Yatoa Taarifa
Wakala wa Mabasi yaendayo kwa haraka DART, inautaarifu umma kuwa leo, Jumatano ya Aprili 10 kutakuwa na uhaba wa mabasi katika mfumo wa DART, Kupunga kwa idadi ya mabasi katika mfumo unatokana na baadhi ya mabasi kuwa na hitilafu na hivyo kulazimika kufanyiwa matengenezo makubwa na madogo.
Mabasi 58 ya Mwendokasi Yaondolewa Barabarani, DART Yatoa Taarifa
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger