Mtoto Atelekezwa Kwa Abiria Kituo cha Mabasi Ubungo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi mitatu ametelekezwa stendi kuu ya mabasi ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo alfajiri Aprili 24 na amepelekwa ofisi za utawala za stendi ya Ubungo wanakoendelea kumtafuta mama yake


Abiria aliyetelekezewa mtoto huyo amesema asubuhi kuna mama alimuomba amshike mwanae akiaga anaenda chooni lakini hakurejea tena na alipomsubiri kwa saa nzima bila kuonekana ikabidi aende kutoa taarifa utawala na baadaye Polisi


Mkuu wa kituo cha Polisi Ubungo, amesema wanampeleka mtoto huyo ofisi za ustawi wa jamii ili hatua nyingine ziendelee wakati wakimtafuta mama yake  

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad